Beads, Uganda, 2011

Nukuamkia Maria , umejaliwa neema, Bwana ni nawe, mbarikiwa wee kuliko wanawake wote, na mbarikiwa mtote wa tumbo lako Yesu.

Maria mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu, sasa na wataki wa kufa kwetu. Amina

Advertisements